iqna

IQNA

Salah al Zawawi
Taazia
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejiunga na maafisa wengine wa Iran katika kutoa mkono wa pole kufuatia kifo cha balozi wa miaka mingi na mkongwe wa Palestina, hapa nchini Iran. Balozi Salah al Zawawi alifariki dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 85 katika hospitali moja ya hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476600    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21